Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikata utepe wakati alipozindua X-Ray ya kidigitali kwenye hospitali
ya Rufaa ya mkoa wa Ruvuma, Januari 5, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt, Faustine
Ndugulile na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kuhusu Mashine ya Kidigitali aliyoizindua katika
hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kutoka Mtalaam wa tiba ya mionzi (Medical
Technologist), Lincleth Gingo kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa
Ruvuma mjini Songea, Januari 5,2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,
Christina Mndeme na wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Wtoto, Dkt. Faustine Ndugulile. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa Songea wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kuzindua
Mashine ya X-Ray ya Kidigitali kwenye hospitali ya Rufaa ya mkoa wa
Ruvuma, Januari 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisikiliza taarifa ya Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Majura
Magafu kuhusu ukarabati wa Jengo la Wakinamama wajawazito wanaosubiri
kujifungua katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,
Januari 5, 2019. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile, wapili kulia
ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma, Christina Mndeme.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...