Picha hizi zinahusu kuwasili kwa Transformer moja yenye uwezo wa MVA 300 sawa na MW 240 jana katika kituo cha UBUNGO. Transformers hii itafungwa katika Kituo cha Ubungo ili kuongeza uwezo wa Sasa wa MVA 300 na kuwa MVA 600 sawa na MW 480 na hivyo kumaliza tatizo la kukatika Umeme kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kazi za awali za ufungaji wa Transformer hiyo zilianza na zinatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe 31/5/2019Tunawapongeza TANESCO kwa kutekeleza maelekezo ya Serikali # HapaKazi tu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...