Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere akitafanua jambo kwa wakuu wa mikoa yote nchini wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Tamisemi Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019.
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akiongoza kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa yote nchini kilichohudhuriwa pia na Katibu Mkuu Tamisemi Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Kagera Brigedia jenerali Marco Gaguti awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019.
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Katavi Mhe. Amos Makalla awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenrali (Mst) Emmanuel Maganga sehemu ya  awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira sehemu ya awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Manyara Mhe. Alexander Mnyeti  sehemu ya awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Mara Mhe. Adam Malima  sehemu ya awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Mbeya Mhe. Albert Chalamila  sehemu ya  awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Ruvuma Mhe. Christina Mndeme sehemu ya awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Songwe Brigedia Jenerali  Nicodemus Elias Mwangela sehemu ya  awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019 
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Tabora Mhe. Aggrey Mwanri sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi  katika picha ya pamoja akiwa ameketi na Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga (kulia kwake) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe  (Kushoto Kwake)  Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Ndikilo (kulia) baada ya kuwakabidhi wakuu wa Mikoa hao awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo.   Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...