Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi amewaomba wananchi wa Wilaya ya Kiteto, kujiunga na Benki ya NMB kwa kufungua akaunti kwa lengo la kunufaika na Benki hiyo kwa nyanja mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya na misaada ya Majanga inapojitokeza.

Mlozi ameyasema hayo hivi karibuni akiwa katika Kijiji cha Chang'ombe alipofika kutoa msaada wa bati, mbao na misumari vya thamani ya milioni tano, kuondoa adha kwa wanafunzi wa shule ya msingi Matereka..
 Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi akikabidhi mabati kwa uongozi wa shule ya msingi Matereka,katika kijiji cha Chang'ombe wilayani Kiteto hivi karibuni. 
 Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi akikabidhi mbao kwa Uongozi wa shule ya msingi Matereka,katika kijiji cha Chang'ombewilayani Kiteto hivi karibuni.
Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali katika Kijiji cha Chang'ombe alipofika kutoa msaada wa vifaa vya ujenzi kama vile Mabati, Mbao na Misumari vyenye  thamani ya shilingi milioni tano, kuondoa adha kwa wanafunzi wa shule ya msingi Matereka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...