Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabud na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal wakitia saini makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel na asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal
baada ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali
itayokuwa na asilimia 49 na Airteml asilimia 51 kwenye hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati
ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
DONE
DEAL: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabud
akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunnil
Mittal baada ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya
serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel asilimia 51 kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil
Mittal baada ya kushuhudia zoezi la kutiwa saini kwa makubaliano mapya
ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel na asilimia
51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari
15, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw. Sunil Colaso baada
ya makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49
na Airtel yenye asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam leo Januari 15, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal
baada ya kushuhudia zoezi la kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia
kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel na asilimia 51
kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari
15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba
Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Sheria na Katiba Profesa
Palamagamba Kabudi aliyeongoza timu ya Serikali katika mazungumzo na
kampuni ya Bharti Airtel katika kufikia makubaliano mapya ya ubia kati
ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na kampuni hiyo asilimia 51 kwenye
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019.
Wengine ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu wizara
ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw.
Sunil Mittal na ujumbe wake pamoja na ujumbe wa serikali.
FURAHA YA MAKUBALIANO MUAFAKA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa kampuni ya
Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal na ujumbe wake pamoja na ujumbe wa
serikali baada ya kupata picha ya pamoja ya kumbukumbu ya kutiwa saini
kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49
na Airteml asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...