RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanziobar (ZBC) na Uongizi wa Shirika hilo, kulia Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kali Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Komb.(Picha na Ikulu)
 VIONGOZI wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale, wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayupo picha, wakiwa katika ukumbi wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Ikulu leo.15-1-2019.
 MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Bi. Nasra Mohammed Hilal, akitowa Taarifa wakati wa Mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika Ikulu Zanzibar, kulia Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Khamis Mussa na Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Mwanahija Almas.
 MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Bi. Aiman Osmond Duwe, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Shirika wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu Zanzibar
 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa Mkutano huo uliofanyika Ikulu Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa ZBC,kushoto Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa Uchumi na Fedha Mhe. Balozi Mohammed Ramia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk Ali Mohamed Shein akimsikilia Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said akizungumza wakati wa Mkutano huo na Uongozi wa ZBC na Bodi ya Wakurugenzi Uliofanyika Ikulu Zanzibar (katikati) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...