Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi cha kujadili ratiba za shughuli za Bunge katika Mkutano wa kumi na nne (14) kilichofanyika leo tarehe 28 Januari, 2019 katika ofisi ya Bunge jijini Dodoma, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa kumi na nne (14) wa Bunge la 11 unaotegemewa kuanza kesho tarehe 29 Januari, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na wajumbe wa kamati ya uongozi wakati wa kikao cha kujadili ratiba za shughuli za Bunge katika Mkutano wa kumi na nne (14) kilichofanyika leo tarehe 28 Januari, 2019 katika ofisi ya Bunge jijini Dodoma. Ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa kumi na nne (14) wa Bunge la 11 unaotegemewa kuanza kesho tarehe 29 Januari, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.
Wajumbe kamati ya uongozi wakiwa kwenye kikao cha kujadili ratiba za shughuli za Bunge katika Mkutano wa kumi na nne (14) kilichofanyika leo tarehe 28 Januari, 2019 katika ofisi ya Bunge jijini Dodoma, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa kumi na nne (14) wa Bunge la 11 unaotegemewa kuanza kesho tarehe 29 Januari, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...