Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme na mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera kushoto,wakiwa wamebeba tofari kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya nadarasa katika shule ya Frank Weston wilayani Tunduru ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza 2019 wanapata nafasi na kuondokana na uhaba wa vyumba vya madarasa wilaya ya Tunduru imefanikiwa kupunguza kwa kiwango kikubwa uhaba wa vyumba vya madarasa kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...