Balozi wa Ujerumani Tanzania na Mkewe akisaini kitabu ofisini kwa Mbunge wa Songea Mjini, Dkt Damas Ndumbaro
Mbunge wa Songea mjini Na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Daniel Ndumbaro, akiwakutanisha Balozi wa Ujerumani Tanzania, Mh Dkt Deltef na Chifu wa Kingoni, Nkosi Amakhosi Zulu Gama, katika mji wa Songea kwaajili ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 114 ya vita vya Majimaji. Wengine pichani ni mke wa Balozi, Mtemi wa Wasukuma na Fr. Dkt Kazimoto Komba (ambaye aliambatana na Balozi ) na Mlinzi wa Chifu wa Songea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...