Fundi
magari mwenye maskani yake Tabata jijini Dar es Salaam, Saimon Mushi,
amekabidhiwa bodaboda yake aliyoshinda jana kwenye droo kubwa ya
Jumatamu Jenga, huku akishinda sambamba na wenzake watano kutoka kwenye
bahati nasibu hiyo, ambapo washindi wawili waliibuka na bodaboda na sh
milioni moja huku wengine wanne wakishinda mamilioni ya wapendanao.
Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mratibu Msaidizi wa Matukio wa Biko Hassan Ahmed.Akizungumza katika makabidhiano hayo, fundi huyo aliishukuru Biko kwa kumkabidhi bodaboda yake akisema kuwa itamsaidia kwa kiasi kikubwa katika maisha yake kwa namna moja aka nyingine.
Kucheza Biko sasa ni kuanzia sh 500 na sh 1000 na kuendelea, huku ushindi wake ukianzia sh 1000 hadi sh 100000 kwa watakaocheza sh 500 hadi sh 9500 wakati watakaocheza kwa sh 1000 na kuendelea, mchezaji anaweza kujishindia zawadi ya papo kwa hapo kuanzia sh 5000 hadi sh milioni moja bila kusahau wote kuingia kwenye droo kubwa ya Jumatano na Jumapili.
Bahati nasibu ya Biko inachezwa kwa mitandao ya simu minne ambayo ni Tigo Pesa, M-Pesa, Artel Money na HaloPesa, ambapo namba ya Kampuni ni 505050 na kumbukumbu namba 2456, huku Watanzania wakiweza kujishindia zawadi kubwa katika droo ya Jumatano na Jumapili.

Mshindi wa bodaboda na sh milioni moja kutoka bahati
nasibu ya Biko wa droo ya 179, Saimon Mushi wa Tabata jijini Dar es
Salaam, akipokea bodaboda yake aliyoshinda kwenye droo kubwa
iliyofanyika Jumatano, maarufu kama Jumatano Jenga ambapo washindi sita
walipatikana wakiwamo wa mamilioni na wawili wa bodaboda. Makabidhiano
hayo yameongozwa na Mratibu Msaidizi wa matukio wa biko Hassan Ahmed.
Picha na Mpigapicha Wetu.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...