Kufuatia kukamilika kwa hatua ya kupiga kura na kuanza kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Nigeria, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria ametoa taarifa yake ya awali ya uchaguzi huo inayopatikana kupitia link hapa chini: http://www.thecommonwealth.org /sites/default/files/inline/ Interim%20Statement%20of% 20the%20Commonwealth%20Observe r%20Group%20Draft%20-%2025% 20Feb%20Final%20Interim%20Stat ement%20PDF.pdf
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akitoa ripoti ya awali ya jumuiya hiyo

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akiangalia makarani kabla ya zoezi la upigaji kura kuanza mjini Abuja Februari 23, 2019
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akiangalia wasimamizi wa upigaji kura kuanza mjini Abuja Februari 23, 2019
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akiongea na wapiga kura wenye ulemavu wa majo wakati wa upigaji kura mjini Abuja Februari 23, 2019






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...