Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano Maalum la Mazingira Mkoa wa Tabora lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi, Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya wahudhuriaji katika Kongamano la Mazingira lililofanyika mkoani Tabora leo ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo kwenye ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti mkoani Tabora kwa heshima ya Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Picha ya Mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti Mkoani Tabora ulionzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...