Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimo alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudani ya Kusini Mhe. Barnaba Marial Benjamin akiwa na Balozi wa Nchi hiyo nchini Mhe. Mariano Deng Ngor wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais wa Uganda Mhe. Yowweri Kaguta Museveni akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) wakihudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.

Picha na IKULU
Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 20 wa kawaida wa Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Februari 1, 2019
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Paul Kagame wa Rwanda akiongea baad ya kupokea kiti wakati wa Mkutano wa 20 wa kawaida wa Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Februari 1, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Yoweri Kaguta Museveni akiongea machache kabla ya kukabidhi kiti kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa Mkutano wa 20 wa kawaida wa Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Februari 1, 2019















Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...