Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi). Arch. Elius Mwakalinga,
akifafanua jambo kwa Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara yake jijini
Dodoma, leo katika kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi). Arch. Elius Mwakalinga
(katikati), akisikiliza uwasilishwaji wa taarifa za utekelezaji kutoka
katika taasisi zilizo chini ya sekta yake jijini Dodoma, leo kwenye
kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo. Kushoto ni Mkurugenzi
wa Sera na Mipango kutoka Wizarani hapo Bi. Elizabeth Tagora.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango
kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Bi.
Elizabeth Tagora, akizungumza na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara
hiyo jijini Dodoma, leo katika kikao kazi cha kujadili majukumu ya
Taasisi hizo.
Meneja miradi kutoka Wakala wa
Barabara Tanzania (TANROADS). Eng. Crispianus Ako, akitoa taarifa ya
utekezaji wa Wakala huo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi). Arch. Elius Mwakalinga, (hayupo
pichani), katika kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo jijini
Dodoma, leo.
Baadhi ya Wakuu wa Taasisi na
Wakurugenzi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya
Ujenzi), wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Arch. Elius
Mwakalinga, wakati akifungua kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi
hizo jijini Dodoma, leo.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...