RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kiyuni na Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kuwafungulia barabara na kituo cha afya leo akiwa katika ziara yake kisiwanin Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kiyuni na Ngomeni na kuonesha Ilani ya CCM ,jinsi inavyotekelezwa kwa wananchi, katika sekta mbalimbali za Kijamii (Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa vijiji vya Kiyuni na Ngomeni wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar Dk.Shein.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...