
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta alipowasili katika
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...