UWT mkoa wa Iringa
imeadhimisha miaka 42 ya kuzaliwa chama Cha Mapinduzi ccm kwa kushiriki
shuguhuli za kijamii pamoja na wananchi.
Katika maadhimisho
yaliyofanyika katika Kijiji Cha Tanangozi kata ya Msekeha halmashauri
ya Iringa vijiji,UWT ilikabidhi mifuko 40 ya Saruji katika Shule ya
sekondari Tanangozi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya
madarasa,walipanda miti 30 ya Parachichi katika shamba la shule na
kufyatua tofari kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa
unaoendelea.
Mgeni rasm katika maadhimisho hayo alikuwa Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Iringa Dkt.Abel Nyamahanga.






















Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...