Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama
cha Wamiliki wa malori nchini (TATOA) Bw, Elius Lukumay hayuko pichani
katika kikao kazi cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya
kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara nchini kilichofanyika
mjini Dodoma leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha
wataalam wa Wizara yake na viongozi wa TATOA kilichofanyika mjini
Dodoma, (kulia) ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mh. Elias Kwandikwa na
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Atashasta
Nditie.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti
wa TATOA Bw, Elius Lukumay katika kikao cha viongozi wa Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na TATOA cha kujadiliana namna bora ya
kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara na
madaraja hapa nchini.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...