Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Juma Homera akiwa na watoto ambao wazazi wao ni wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini(Tasaf) katika kijiji cha Ngalinje wilayani humo,kushoto ni afisa utekelezaji na ufuatiliaji wa mfuko wa maendeleo ya jamii Tasaf wilaya ya Tunduru Emanuel Luhanzo.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera akimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Muungano wilaya ya Tunduru Zainabu Mkwinda risiti ya malipo wakati wa zoezi la malipo kwa kaya maskini katika Mtaa wa Nakayaya wilayani Tunduru.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Komred Juma Homera akizungumza na wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini(Tasaf) hawapo pichani kuelezea utekelezaji wa shughuli mbalimbali za serikali ya awamu ya tano,kushoto ni Afisa ufuatiliaji na utekelezaji wa Tasaf wilaya ya Tunduru Emanuel Luhanzo.
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini katika mtaa wa Nakayaya ambao majina yao hayakufahamika mara moja wakisubiri kupokea fedha za ruzuku zinazotolewa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tasaf wilaya ya Tunduru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...