Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakifuatilia mafunzo kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga baajeti.Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene wa kwanza kushoto, akifuatili mada katika mafunzo kwa Kamati hiyo kuhusu  kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga bajeti yaliyofanyika Jijini Arusha. Anayefuata ni Mratibu wa Mradi wa Kulijengea Uwezo Bunge Awamu ya Pili (LSP), Ndugu Mary Lasway na Ndugu Takawila Msalengena kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakihudhuria mafunzo kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga baajeti.Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).PICHA NA OFISI YA BUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...