
DJ Emperor akiwajibika ghorofa ya Saba New Africa hotel enzi hizo

Haya DJs walikuwa, na bado ni watu muhimu katika shughuli za muziki Tanzania. Labda nikupe maelezo mafupi. Baada ya Biribi Discotheque kupumzika, akazuka kijana huyu, kwanza kwenye parties maeneo ya Upanga, na baadaye kuwa DJ maarufu aliyejulikana kama Dj Emperor, akiburudisha sana pale Motel Agip na kisha kuhamia ghorofa ya saba New Africa Hotel. Alifanya mambo makubwa Arusha pia. Wapenzi wa disco mnamkumbuka? na je, disko lake liliitwaje?
Hivi sasa je...?


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...