Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson akifungua kikao cha Tano cha Kamati ya Demokrasia na Utawala cha Baraza la Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya nchi za Maziwa makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika hii leo Jijini Arusha. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiwa
katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kikao cha Tano cha Kamati ya
Demokrasia na Utawala bora cha Baraza la Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya
ya nchi za Maziwa makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika hii leo Jijini
Arusha. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...