VIWANJA VYA MATUMIZI MBALIMABALI VINAUZWA ENEO LA MAKURUNGE BAGAMOYO MJINI. VIWANJA HIVYO VIPO UMBALI WA KILOMITA 3.5 KUTOKA BARABARA KUU YA MSATA-BAGAMOYO INAYOTUMIWA NA MAGARI YAENDAYO MIKOA YA KASKAZINI KUTOKA DAR ES SALAAM.
PIA VIWANJA VIKO MITA 500 KUTOKA BARABARA YA KUELEKEA PANGANI NA TANGA INAYOENDELEA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI NA KUWEKEWA MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME.
VIWANJA VIPO MPAKANI MWA ENEO LA RAZABA AMBALO SEHEMU YAKE INA SHAMBA LA MIWA LA BAKHARESA NA KIWANDA CHA SUKARI KINACHOENDELEA KUJENGWA KM 7 KUTOKA MAHALI VIWANJA VIPO. ENEO LINALOPAKANA NA VIWANJA HIVI LIMEPIMWA NA VIWANJA VYOTE VIMESHAUZWA NA VIMEISHA. HUDUMA ZOTE ZA JAMII ZIMETENGEWA MAENEO HAYO.
VIWANJA HIVI VINAUZWA KWA GHARAMA ZA MITA ZA MRABA YA SH. 3900 KWA VIWANJA VYA MAKAZI NA T.SHS 4500 KWA VIWANJA VYA BIASHARA NA SHUGHULI ZINGINE ZA KIUCHUMI IKIJUMUISHA NA HOUSING ESTATES . VIWANJA HIVI VINA UKUBWA WA KATI YA MITA ZA MRABA WA 450 HADI 11000.
BAADHI YA VIWANJA VINA HATI TAYARI NA VINGINE MNUNUZI ATATENGENEZEWA HATI NA HALMASHAURI KATIKA MKATABA WA MANUNUZI UTAKAOFANYWA MBELE YA HALMASHAURI. MALIPO YA KIWANJA YANAWEZA KUFANYWA KWA AWAMU NDANI YA MIEZI SITA.
KWA MAHITAJI NA KUCHAGUA KIWANJA PIGA SIMU
NAMBA 0765751517 AU 0653461126
AU FIKA OFISI YA AFISA ARDHI MTEULE BAGAMOYO
Ramani ya site na
inayoonyesha viwanja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...