Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jukwaa la mawasiliano ya afya kwa watu wazima liitwalo NAWEZA lililo chini ya mradi wa USAID TULONGE AFYA. Uzinduzi huo ulifanyika jana Machi 06, 2019 Jijini Mwanza, lengo likiwa ni kuhamasisha utekelezaji wa afya mbalimbali ili kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto chini ya miaka mitano. BMG Habari
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa jukwaa la Naweza.
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Emily Kasagara akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Ukumbusho wa picha na viongozi mbalimbali.
Tazama BMG Online TV hapa chini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...