Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ofisi mpya za
wizara ambazo zimejengwa katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi
27.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ofisi za wizara zilizojengwa katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mhandisi Valentino Chaffu,wakati alipo kagua jengo la Ofisi ya Rais (TAMISEMI) katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019 kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael, katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Marry Mwanjelwa.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...