Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe, Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 6.2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Mbunge wa Sumve Richard Ndasa, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...