Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika maeneo mengi
hapa jijini Dar es Salaam na mkoa wa Pwani kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha jana, ambapo barabara
nyingi za Dar zilijaa maji hali iliyosababisha baadhi ya magari
kuharibika na pia kusabaisa foleni kubwa ya magari,lakini pia inaonesha
mitaro mingi ya kupitisha maji machafu kati kati ya jiji imeziba,hali
inayochangia pia kutuama kwa maji.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi
Tv)
Limezima anasubiriwa fundi
Gari likiwa limehariika katikati ya barabara ya Kilwa kata ya Mandege mkoa wa Pwani.
Kama ionekanavyo pichani hapa wananchi wakisukuma gari baada ya kukwama kwenye matope kufuatia Mvua zilizoanza kunyesha wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...