Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu
Kutoka kulia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga na Mbunge wa Bariadi, Mhe. Andrew Chenge wakiteta jambo kabla ya zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga , Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Mkoani Simiyu
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) wakiweka Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu
Kulia ni Mjane wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele akiweka shada la maua kwenye kaburi la mume wake , ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu.
Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo akiweka shada la Maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu.
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mch.Elias Swita(wa pili kulia) akibariki kaburi ambalo umezikwa mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Komredi Kheri James (mwenye kofia) akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka na wengine ni baadhia ya viongozi wakiondoka eneo alilozikwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Mkoani Simiyu
Kutoka kushoto Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Isamuhyo, Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Njelu Kasaka, Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka na Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga wakiteta jambo mara baada ya zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele kumalizika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akiweka shada la Maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Dkt. Yohana Daudi Balele, ambaye alifariki Mei 02, 2019 jijini Dar es salaam na kuzikwa Mei 09, 2019 wilayani Bariadi Mkoani Simiyu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...