Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi,Juma Bwire
(kushoto) akipokea msaada wa Samani za Makabati 3, viti 15 na Meza 3
kutoka kwa Taasisi ya SOS Children Village Tanzania tawi la Iringa vya
thamani ya Tsh 2,700,000/= ambavyo vitatumika kwenye Kitengo cha Dawati
la Jinsia na Watoto ngazi ya Kata. Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la
Polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...