Naibu Spika Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson akikabidhi fedha
kiasi cha Shilingi milioni moja kwa Wabunge mashabiki wa Timu ya Soka ya Yanga
iliyopokelewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi, Vijana, Ajira
na Watu wenye Ulemavu Mheshimiwa Anthony Mavunde, Ofisini kwake Bungeni mjini
Dodoma. Fedha hizo ni kwa ajili ya kuichangia Timu ya Yanga.
Naibu Spika
Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya kukabidhi fedha kiasi cha Shilingi milioni moja kwa Wabunge mashabiki
wa Timu ya Soka ya Yanga kwa ajili ya kuichangia timu hiyo, Ofisini kwake
Bungeni mjini Dodoma .
(PICHA NAOFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...