Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Fgarib Bilal pamoja na
viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Jukwaa la fawakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Maafisa waandamizi wa IPP Limited na waombolezaji wengine
Mahubiri
Mahubiri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na
viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na
viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Viongozi mbalimbali na waombolezaji
Viongozi mbalimbali na waombolezaji
Viongozi mbalimbali na waombolezaji
Balozi Juma Mapachu akisoma wasifu wa marehemu wakati wa kuuaga mwikli wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea machache wakati wa kuuaga mwikli wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na
viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Profesa Paramagamba Kabudi akitoa salamu za serikali wakati wa kuuaga mwikli wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Jukwaa la fawakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
 |
Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga ndiye aliyekuwa MC |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwili kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu wakati
alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mtoto wa Marehemu Bw. Abdiel Mengi wakati
alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa
pole kwa shemeji wa marehemu Bi. Shimimana Ntuyabaliwe wakati alipoongoza
waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Bi. Jacquiline Mengi wakati
alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza
waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa binti wa marehemu Bi. Regina Mengi wakati
alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza
waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham
Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mkono wa pole kwa Mama Rose Mwapachu wakati akiaga baada ya kuongoza waombolezaji kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiondoka baada ya kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt.
Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Jumanne Mei 7, 2019
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...