

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu waliyojadiliana baina ya Serikali za nchi zote mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa pamoja na waandishi wa habari wa Zimbabwe na Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Ikulu ya Harare Nchini Zimbabwe.
Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...