Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zimbabwe
mheshimiwa Emmerson Mnangagwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Robert Mugabe nchini Zimbabwe.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono pamoja na mwenyeji
wake Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakati wakiangalia vikundi
vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Robert
Mugabe nchini Zimbabwe. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...