Spika wa Bunge, Job ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Vijana 2018/2019, Ndg. Zephania Sane pale uongozi wa Bunge hilo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Ndg. Ashiruna Muhunzi na katibu wa Bunge, Ndg. Alphonsina Ambrosi
Spika wa Bunge, Job ndugai (kushoto) akikabidhiwa ripoti ya Bunge la Vijana 2018/2019 na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Job ndugai (Mwenye joho) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Bunge la Vijana 2018/2019 ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Walioongozwa na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane (wa nne kulia). (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...