![]() |
| Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri),Dk Edward Kohi akizungumza mienendo na tabia za Tembo huku Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangala akimsikiliza kwa makini. |
![]() |
| Wataalamu wakimfatilia mmoja wa Tembo ambaye alifungwa kifaa maalumu |
![]() |
| Wataalamu wa Wanyamapori wakimfatilia mmoja wa Tembo aliyefungwa kifaa hicho kinachowawezesha kufahamu mienendo yake katika ikolojia ya uhifadhi |










Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...