Profesa
Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo
Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na
Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wakitia saini tamko la
pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia
Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa
Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo
Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na
Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wakibadilishana nyaraka
baada ya kutia saini tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali
baina ya Tanzania na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa
Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki (Mb) pamoja na Mhe. Netumbo
Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na
Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano (Mb) wakionesha kwa waandishi
wa habari nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali
baina ya Tanzania na Namibia walizotia saini
Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019
Profesa
Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo
Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na
Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wakiwa katika picha ya
pamoja baada ya kutia saini na kubadilishana nyaraka za tamko la pamoja la
mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia
saini Mjini Windhoek,Namibia May
28,2019. Kushoto ni kaimu balozi wa Tanzania Nchini Afrika ya Kusini
anayesimamia pia Namibia Bw. Richard Lupembe na kulia ni Balozi wa Namibia
nchini Tanzania Theresia Samaria.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...