Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, wakati wa futari ya pamoja na watoto yatima kutoka kwenye vituo sita vya kulea watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Mei 26.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima, kwenye futari ya pamoja na watoto yatima kutoka kwenye vituo sita vya kulea watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Mei 26.2019.
Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
Mkurugenzi wa Chocolate Princess na mwandaaji wa kipindi cha
televisheni maarufu cha The Mboni Talk Show, Bi. Mboni Masimba, wakati
wa futari ya pamoja na watoto yatima kutoka kwenye vituo sita vya
kulea watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika
viwanja vya Karimjee Mei 26.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...