Mtaalamu wa masuala ya Kiuchumi, Paulsen Mrina (kulia
shati la blue bahari) akiwaelezea Meneja Rasilimali Watu kutoka
kampuni mbali mbali jinsi ya kutunza fedha, katika semina ya kuwawezesha kiuchumi iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral Beach Hotel, Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali Watu kutoka kampuni mbali mbali
wakijadili jambo katika semina kwaajili ya kuwapatia mafunzo ya
kuwawezesha kiuchumi, iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral
Beach Hotel, Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...