Mkurugenzi
wa Bethel Mission School, Emmanuel Mshana, akitoa hotuba ya utangulizi,
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mafunzo ya Ujasiriamali kwa
ajili ya wafanyakazi wa shule hiyo pamoja wananchi kutoka maeneo
mbalimbali jijini Dar es Salaam, Leo. Semina hiyo ya siku tano
itakayohusu mafunzo ya ujasiriamali yanafanyika kwenye viwanja vya Shule
hiyo iliyopo Manispaa ya Ubungo ambazo zaidi ya washiriki 450
wamehudhuria.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manisapaa ya Ubungo, Jaffari Kunambi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina hiyo ya wajasiriamali iliyoandaliwa na Bethel Mission School
jijini Dar es Salaam.
![]() |
Meneja
Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe, George Yatera, akitoa mada
katika semina ya wajasiriamali iliyoandaliwa na Bethel Mission School
jijini Dar es Salaam.
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe, George Yatera, akitoa mada katika semina ya wajasiriamali iliyoandaliwa na Bethel Mission School jijini Dar es Salaam. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...