Msaidizi wa usajili mkuu katika wakala wa biashara na leseni hapa nchini (BRELA) George Chuwa aliyesimama akitoa elimu kwa wafanyabiashara mbalimbali mkoani Mtwara kuhusu kusajili biashara zao kwa njia ya mtandao mafunzo ambayo yamefanyika mjini Mtwara. 
Wafanyabiashara mbalimbali mkoani Mtwara wakijengewa uwezo katika mafunzo ya siku mbili  yanayoendeshwa na Wakala wa usajili wa biashara na leseni (BRELA) kuhusu namna ambavyo wanatakiwa kusajili biashara zao kwa njia ya mtandao mafunzo ambayo yamefanyika mjini Mtwara. (PICHA NA FATNA MWINYIMKUU)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...