Bomba la Maji kwenda miji ya Tabora, Nzega na Igunga pamoja na Vijiji
zaidi ya 120 likiunganishwa katika eneo la Solwa. Nzega wataanza kupata
maji ya Ziwa Victoria mwezi wa saba, Igunga mwezi wa tisa na Tabora
wataanza kupata maji kutoka Ziwa Victoria Novemba mwaka huu. Picha kwa hisani ya Maji Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...