Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kushoto) akiwa na baadhi ya washindi wa Promosheni ya Soka la Afrika inayoendeshwa na kampuni ya Tigo muda mfupi baada ya kuwakabidi bendera ya Taifa kwa ajili ya kwenda kushuhudia Michuano ya Mataifa ya Afrika yanayofanyika nchini Misri. Wa kwanza kulia ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf

 Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi bendera ya Taifa baadhi ya washindi wa promosheni ya Soka la Afrika watakaokwenda Misri kushuhudia michuano ya mataifa ya Afrika. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Tigo Woinde Shisael.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi bendera ya Taifa baadhi ya washindi wa promosheni ya Soka la Afrika watakaokwenda Misri kushuhudia michuano ya mataifa ya Afrika. Kulia ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Tigo Woinde Shisael.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kushoto) akimkabidhi Kalaghe Rashid (kulia) mbaye ni mmoja wa washindi wa Promosheni ya Soka la Afrika inayoendeshwa na kampuni ya Tigo bendera ya Taifa kwa ajili ya kwenda kushuhudia Michuano ya Mataifa ya Afrika yanayofanyika nchini Misri. Anayeshuhudia katikati ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kushoto) akimkabidhi Godfrey Muta (kulia) mbaye ni mmoja wa washindi wa Promosheni ya Soka la Afrika inayoendeshwa na kampuni ya Tigo bendera ya Taifa kwa ajili ya kwenda kushuhudia Michuano ya Mataifa ya Afrika yanayofanyika nchini Misri. Anayeshuhudia katikati ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...