Mwenyekiti wa chama cha Ushangiliaji nchini Godson Karigo (kushoto) na mwenzie Philemon Ntahilaja wakiwa kwenye kambi ya Taifa Stars jijini Cairo kuwahamasisha kwenye michuano ya AFCON
![]() |
Mwenyekiti wa chama cha Ushangiliaji nchini Godson Karigo akiwa na mshabiki mkubwa wa Taifa Stars aishiye Uingereza Bongo Zozo wakiwa Misri |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...