Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA Jenerali Mstaafu George Waitara ( kulia) akimkabidhi Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla Tuzo iliyopewa  Hifadhi ya Taifa ya  Serengeti kwa kuwa hifadhi Bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2019.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima (katikati) na Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (kushoto) wakifurahia Tuzo iliyopewa  Hifadhi ya Taifa ya  Serengeti kwa kuwa hifadhi Bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2019. Tuzo hiyo kwa Serengeti imetolewa nchini Mauritius na Taasisi ya World Travel Awards.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...