07/12/1973 - 22/06/2015
Leo tarehe 22/06/2019 umetimiza miaka minne tangu ututoke,Unakumbukwa na watoto wako Luis(Anwary) na Jermaine,Unakumbukwa na Baba yako mzazi Mzee Lawrence Mushi(Kimbori).Pia unakumbukwa na wadogo zako Rudolf(Dofu),Claudia,Gaudence, Fulgence,Renatus(Kulwa),Martha (Manka/Dotto) na Maria(Mkakeni)
Unakumbukwa pia na ukoo wote wa Kimbori na Massawe,Pamoja na Ndugu jamaa na Marafiki,Pia Unakumbukwa na Tanzania Houston Community(THC) in Houston-Texas.Pumzika Kwa Amani Kaka Yetu Edmund.
Bwana Alitoa,Bwana Ametwaa jina lake Lihimidiwe.
Amen
🏽
🏽
🏽
🏽
🏽
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...