Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi
ambaye amefiwa na Mkewe, Dkt. Badriya Abubakar Gurnah wakati alipokwenda
nyumbani kwa wazazi wa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam Juni
23, 2019 kutoa pole kwa familia. Katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Iddi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
HABARI
TAARIFA
MAJALIWA ATOA POLE KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, ZANZIBAR KUFUATIA KIFO CHA MKE WA KATIBU MKUU HUYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...