Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Juni 25,2019 ameshiriki katika Dua ya pamoja na Familia ya Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Sadallah Mabodi wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa Dkt. Mabodi Mikocheni jijini Dar es salaam kumfariji kutokana na kifo cha mkewe Dkt. Badriya Abubakar Gurnah kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassani akizungumza na Dkt. Abdallah Juma Sadallah Mabodi
.
Makamu wa Rais Akisaini kitabu cha kumbukumbu
Makamu akiagana na Familia baada ya Dua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...