aibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mh.Abdallah Ulega (wa kwanza kushoto) wakifungua kisima na wadau mbalimbali wa maendeleo katika Kijiji cha Kazole kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
aibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mh.Abdallah Ulega akiwafariji wagonjwa leo wakati walipokwenda na wandau wa maendeleo kutoa msaada wa kibinadamu katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. 
aibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mh.Abdallah Ulega (wa kwanza kulia ) akiwa ameambatana na wadau mbalimbali wa maendeleo wakitoa msaada wa kibinadamu leo kwa wagongwa mbalimbali katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mh.Abdallah Ulega (wa pili kulia ) akiwa ameambatana na wadau mbalimbali wa maendeleo wakitoa msada wa kibinadamu kwa wagongwa mbalimbali katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
aibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mh.Abdallah Ulega (alienyoosha mkono) akiwashukuru wadau wa maendele waliojenga mkisima kwa niaba ya wananchi wa Kijiji cha Kazole kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...