Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA), Gilliard Ngewe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Emmanuel Stephen Ndomba. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Afisa Habari wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta kuu ya Uchukuzi), Christopher Phillemon akitoa maelezo mafupi kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (kulia) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Baadhi ya Waandoshi wa Habari wakifutilia maelezo ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akisikiliza kwa makini swali kutoka kwa Waandishi wa Habari wakati wa mkutano wake na waandishi hao (hawapo pichani) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Emmanuel Stephen Ndomba. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Afisa Habari wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta kuu ya Uchukuzi), Christopher Phillemon akiwa na baadhi ya Waandishi wa Habari wakifutilia maelezo ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (hayupo pichani) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akiagana na Waandishi wa Habari baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi hao kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...