Afisa Bima wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Honest Valence kulia akitoa maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na NIC kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao walitembelea banda hilo jana wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Afisa Bima wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Honest Valence kulia akifurahia jambo na mmoja wa wakazi wa Dar es Salaam waliotembelea banda la shirika hilo jana wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa NIC wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa NIC wakiwa kwenye ‘pozi’ wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...